Wasikudanganye ft. King Kaka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Wasikudanganye ft. King Kaka - Barnaba Classic (TZ)
...
siunajua ....vijana kwa kijiti sio poa
na binti kwa miti life utatia ndoa
.........
ndio maana yoooh
ayeeeeh
jasho limenimimirika nilete kipande cha samaki nyumbani
tupike na ugali nyumbani
wwe unaleta uuni
wajiitia wahamsini
ety mtoto wamshetown
shiuna (2) eeeh
nimezaliwa mjini tena wamshetown
kitovo kilitupwagalala
najijua kwako na barabara yooh
leo disco wapi , tuende kinuwamastang msani mgani kwa mseto
songa na number number yake bie
zile mambo za kubeba makeup kwenye mkoba ,
ukimaliza utie ueguba (okay) wacha nawe ya muda
chunga wasijekuje kukufuta
wakati wa lunch, huwanakutungia shairi
sina hela , ila mistari mmi tajiri
kwa akili , nimekununulia hadi jiji
sijafika level za akina joe makini , za alikiba na kina nick wa pili
na roho huwa inaona kitu macho huwa haioni
siunajuwa sijalipwa pesa imeka kaaa
leo labda nilete hadithi na daga
unataka maisha ya uber , mimi nakubazi
ghetto kwangu umekaribishwa mlango wazi
n ukuta nina picha za masaki
sahani nimekosa baadaye bila rosa
ukae back left tulishane success
nini utapaa chess design na jackets
mhindi ananiita imeisha lunch break
mummy , wasikudangaye
wasikudangaye mama, aty wwe mrembo sana
wasikudangaye eeee ooh wasikudangaye eee
nooo wasikudangaye
wasikudangaye mama aty mrembo sana
wasikudangaye eee wasikudangaye eee
Hata mmi najua siri ya mtungi
naomba nivumile kama baraka n ruby hamna pita hapa labda
andazi n uji
najua mummy ,sometimes huwa naudhi
wewe malkia hapa duniani mbawa umeficha
nikilemewa kazini huwa natizama yako picha
wanakuita wanataka zako features
Tafadhali , baki na mmi sweat heart
jua natamani kile unacho naona future yetu kwa hizo macho
ndio maana niko mjengo nikiririkiwa na jasho
kama sipewi promotion mmi n mstari nitatunga
ama nirudi ocha n wanyama nitachunga
ka utaniwacha utaskia nimekuwa padri
mhindi ameniita , imeisha lunch break
mummy wasikudangaye
nikikupenda namanisha si lazima kwa whatsapp niweke yako picha (ahaah siulazima ) mbn unanipa kisa ooh tulia ( tulia )
ndoa zimehamia Instagram ooowa ooooh ( na Twitter pia na Facebook)
kumbe unayetamani naye sura ameshusha kwa magoti ( chini yaani , chini) nimelewata liwalika weka msukuma kama mpira yeeh angali umepewa sura zuri (sana) na shapu nzuri ila na kuhurumia bin mpendwa nooo nooo
wasikudangaye mama aty mrembo sana
wasikudangaye eee wasikudangaye eee