Loading...

Download
  • Genre:Reggae
  • Year of Release:2024

Lyrics

Sanakary (Uzuri Wako/Shee weds Fatma (Official Music Audio) - Sanakary

...

Nna furaha moyoni,Leo siku imefika

Na tabasamu usoni,Nafurahi nacheka

Jamani hurulaini,nimempata hakika

Hivi wee wa duniani,Ama umeshuka

Uzuri wako, Wakufananisha hakuna

Uwepo wako, Unanituliza napona

Leo siku yako, Cheza kwa kuringa ukijivunga

Mi halali yako, Na tena navimba wakiona

Nampa majina mazuri, nitakuitaa

Hayatikal Birouhy, nikupambe kwa sifa

Na simfichi moyoni, Leo namtambulisha

Namueka hadharani, kwa jina anaitwa...

Fathmah kipenzi chaguo langu nakupenda

Fathmah hakuna mwengine ni ww ×2

Natangaza na sio siri, Ww roho yangu

Ntakupenda ntakulinda, Milele daima

Umenipendeza hii ni kheri, Mi wako wee wangu

Ukiteleza ntakukinga, Honey upo salama

Harusi imewadia

Mm kwako nimejifia

kukuacha sina nia

mashahidi washuhudia

Naahidi nitatulia

Hadhira inashangilia

Nampa majina mazuri, nitakuitaa

Hayatikal Birouhy, nikupambe kwa sifa

Na simfichi moyoni, Leo namtambulisha

Namueka hadharani, kwa jina anaitwa...

Fathmah kipenzi chaguo langu nakupenda

Fathmah hakuna mwengine ni ww ×2

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status