Tatizo Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
Lyrics
Tatizo - Sanakary
...
Beats
najiona wazi naangamiya ,ila bado nafosi mapenzi,
na furaha yangu ya bandiya ,nikiamini eti wewe ndiyo dawa
tena bado navumiliya baya au zuri kwangu mapokezi,
wenda tu izo ni hisia,za muda halafu utarudi utakuwa sawa
haichukuwi muda furaha,kubadili kugeuka huzuni
japo sababu ndogo utafute uninuniye
afadhali roho mbaya,ningeweza kuisafisha kwa sabuni
tuepuke ilo zogo na maishani sisi tufurahiye
tena mimi kipofu nahitaji wa kunionesha njia
na wewe wangu fimbo wa kupapasiya nilozoweya
umekosa uongofu unaiona nyongo ina nitumbukiyaa
umeninasa kwa ulingo na sijafikiya kujinasuwaa.
kwani nini tatizo, tatizo,tatizo, nashindwa juwa ,
tatizo, tatizo, tatizo,
Beats
Sijuwi kanitowa kiti , maana siambiliki, kumpenda meh sichoki nikezaama
mate hata hayapiti,moyo umejawa dhiki,
fundo ata silitapiki , limekwama
nimedhohofika hali naawaza,anapata faida gani kunikwaza
ananishusha thamani ananteketeza
roho hailali kwa amani nimeoza,
mimi nashindwa kujuwaa kwani lipi nimemkoseya
hadi leo hii anabichukiyaa,anifanye mnyonge naliyaa , kwani nini tatizo, tatizo, tatizo
nashindwa juwa tatizo, tatizo, tatizo,
finish