Utafurahi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Utafurahi - Guardian Angel
...
Anatengeneza ushuhuda wako ,oooh mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Anatengeneza ushuhuda wako, oooh mwisho wa siku kweli utafurahi sana
sanaa sanaa sanaa sanaaa
utafurahi sanaaa mwishoo wa siku kweli utafurahi sanaaa.
sanaaa sanaaa sanaaa sanaaa utafurahi sanaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaa
Giza ni jingi wakati kunaelekea kucha, kukicha utapata mwanga utafurahi sanaa
Tatizo la mtoto naona linakukera sanaa, kukicha utapata mtoto utafurahi sanaaa
Tatizo la kazi jamani linakukwaza sanaa, kukicha utapata kazi utafurahi sanaa
Sanaa sanaaa sanaaa aaah mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Wakati mwingine Mungu anakujaribu tu, oooh
Aone imani yako
Aone uaminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako ooh
Aone imani yako
Aone uaminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako ooh
Sanaa sanaaa sanaaa sanaaa utafurahi sanaaa sana Sana mwisho wa siku kweli utafurahi sanaa
Yesu anatengeneza anatengeneza ushuhuda wako ooh mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Anatengeneza anatengeneza ushuhuda wako ooh mwisho wa siku, mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Sanaaa sanaaa sanaaa sanaa utafurahi sanaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa *2
Ayubu alipoteza kila kitu chake eeh
Mke wake akamshauri amuasi Mungu
Binadamu atakucheka sanaaa aaah
Watauliza ako wapi Mungu wako ooh
Wewe shikilia imani yako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sanaa,sanaa sanaaa sanaaa sanaaa sanaaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Wakati mwingine Mungu anakujaribu tu ooh
Aone imani yako
Aone uaminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako ooh
Mtetezi wako anatengeneza ushuhuda wako ooh anapigana vita vyako
Mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Hee Mtetezi wako anatengeneza ushuhuda wako ooh mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Sanaa sanaaa sanaaa sanaaa utafurahi sanaaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
Sanaa sanaaa sanaaa sanaaa utafurahi sanaaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa.
Simba sound production.
END.