![Bodyguard](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/24/afe4a2a947eb4d6bae17449564e2645f_464_464.jpg)
Bodyguard Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Bodyguard - Godfrey Steven
...
aeeh (aeeeh ) aheee (aeeehe) x2
mmmh!
1). Dereva Wangu, lete usukani kwangu
niko tayari tena kulisongesha gurudumu Bwana
na siko tayari iiiii kuishia njiani Bwana
Ni kweli kale angu Bwana (inatisha inatisha x2) kweli!
Ni kweli kale angu Bwana haipendezi haipendezi ,
Ila sipo tayari ii kuipa kibali tena
Na wala siko peke angu,
siko peke angu Bwana eeh,
Niko na we bodyguard Bwana aaah
bodyguard wa maisha aah!
wanihakikishia ulinzi! (ulinzi)
Chorus
Ona navimba na (bodyguard x2)
Ona nalindwa na (Bodyguard x2)
Ona nalindwaa!!
Kipimo cha akili angu kipimwe na we bwana wangu,
nienendee kwa uongozi wangu nifike kanani salama
Adui zangu umewapa kiza Bwana,
washindwe ona wapi
wanipeleka Bwana
washindwa ona wapi waniongoza Bwana
kweli kwako ni uhakika