Unatosha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2012
Lyrics
Unatosha - Evelyn Wanjiru
...
niwewe tu !! niwewe tu!!
unayetosha Mungu wangu!!
niwewe tu !! niwewe tu !!
unayetosha Mungu wangu..!!!
Niko mbele zako bwana nikikiri watosha
amani yangu yatoka kwako Jehovah nissi mshindi wangu
niwewe tu unayetosha !!!
niwewe tu Mungu wangu!!!
najua u pamoja nami umenistawisha we bwana
kibali na upendo wakooooo .umenipa yehovah
umeniandalia meza mbele ya watesi wangu
niwewe tu unayetosha!!
niwewe tu Mungu wangu!!