Baba Inuka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Baba Inuka - Evelyn Wanjiru
...
Mmhuuu! hallelujah, hallelujah, hallelujah, hallelujah........
Baba inuka, tawala
Simba wa Yuda, tawala
Mfalme wa sayuni, tawala
(repeat Chorus)
Hausinzi Wala haulali, ewe mlinzi wangu
umenizunguka pande zote, ewe Mungu wangu
Umenihifadhi, katika uwepo wako...
(Chorus)
Nakutazama Jehovah, msaada wangu watoka kwako
Tumaini langu, liko kwako...kwa Imani, sitingiziki
Umetawala maishani mwangu Ee, Oo Baba.....
(Chorus)
Baba inuka, tawala
Simba wa Yuda, tawala
Mfalme wa sayuni, tawala
Baba inuka, tawala...... (instrumental)
Simba wa Yuda, tawala
Mfalme wa sayuni tawala x5
Oo hallelujah, hallelujah.. tawala Baba, tawala Baba, inuka leo, na utamalaki