Mali Safi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mali Safi - Mabantu
...
Wee Gachii utawaua
(Ujuwe nacheka kwanini? hii ni maajabu)
Gatchi B
si wanapenda kubang
Yah me ni mali safi, na sina mutu
mi ni mali safi na sina mutu
si muni approach, si muni approach
eeh si muni approach
me mali safi na sina mtu
kumaanisha nini
yaah manka ana forehead kwa kichwa ila ana mbaba
angie ana flat screen uko nyuma
ila ana handsome boy
yeah shalom shalom, asalam alaykhum anakufikisha ama tumpe dildo
uku na uku michezo pimpom midomo myekundu vipi unanyonya bigbom?
ivi kisa sina iphone (Sio kweli)
Au tatizo kibunda (sio kweli)
au anadhani siziwezi show show
au nina pigo ndumba
Yah me ni mali safi, na sina mutu
mi ni mali safi na sina mutu
si muni approach, si muni approach
eeh si muni approach
me mali safi na sina mtu
si muni approach, si muni approach
eeeh simuni approach
yaaah, walinambia niende gym nibebe chuma nipate six pack
rachel mbna kachongesha uturuki na bado hatakwi
yeah mchawi lighter usisahau kali
ayo mambo ya kunyonga niachie sadali
chipsi ndogo chumvi kwa mbali utaugulia nikikuongezea kidali
au sura aikubali filter (sio kweli)
umbo analo mpiga picha ( Ah sio kweli)
au natupia ila sitoki chicha( sio kweli)
Au weusi ndo unanificha
Yah me ni mali safi, na sina mutu
mi ni mali safi na sina mutu
si muni approach, si muni approach
eeh si muni approach
me mali safi na sina mtu
simu ni approach si muni approach
eeeh si muni approach
me mali safi na sina mutu
yaaaah oooh loo looo
aiiiiwenaa
UTAWAUAAAA