- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Yesu Njoo - Kwaya Ya Mt. Cecilia Parokia Ya Mavurunza Dar
...
Yesu njoo njoo uniokoe dunia ni nzito bwana inanielemea.
dhiki,tabu gharama ya maisha
Magonjwa mazito bwana yananielemea
bwaaana
mimi ni kipofu bwana niweze kuona
bwana
mimi ni kiziwi ninaomba kusikia
bwaaana
mimi ni kiwete bwana niweze tembe
bwaana
mimi ni mgumba naomba unitakase