Nimefungua Vitabu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Nimefungua Vitabu - Kwaya Ya Mt. Cecilia Parokia Ya Mavurunza Dar
...
nimefungua vitabu vyote
nimezipekua kurasa zote, kulitafuta andiko hili sikuliona ni wap palipo andikwa matendo haya machafu sikupaona
sikukuta andiko hili sikuliona ni wap palipo halalisha mmatendo haya machafu fungua nchi usiku fungusa machi Giza Nene limetanda fungua macho
Limeandikwa wapi x2 k uwa ushoga ni halali, ,kuwa rushwa ni Mungu wa poor hakik ( hakuna) kuwa hirizi ni halali. . kurasa zote hakuna
fungua machoo mchana fungua macho usiku niwakti wa kukesha, fungua macho, ,
Sheria zake mungu.wana
kemea mkristu matendo document zake uzisafishe epuka na yo matendo hayo na zake