- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Bwana Asema - Kwaya Ya Mt. Cecilia Parokia Ya Mavurunza Dar
...
Bwana asema bwana asema
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
1.Amin amin nawaambia
Hadi mkamtetea mmoja wako wa watumishi wako walio ndugu
mmenitendea mimi
Bwana asema bwana asema
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
2.Njoni mliobarikiwa na Baba yangu uurithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa kwa ulimwengu
Bwana asema bwana asema
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
3.Nalikuwa na njaa mkanipa chakula
nalikuwa na kiu mkaninywesha
nalikuwa mgeni mkanikaribisha
Bwana asema bwana asema
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Njoni mliobarikiwa na Baba yangu
Nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama