Mvua Ya Baraka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Mvua Ya Baraka - Fanuel Sedekia
...
nime mwona bwanaaaa nime mwona mfalmeeee,
nime nyeshewaaaaa na mvua ya barakaaaa×2.
Ame niambiaaaaaa,
Mambo ya maisha yanguuu,
nime nyeshewaaaaa na mvua ya barakaa×2.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
katika uwepo wakeee kuna ukamilifuuu,
furahaa na amani nimekamilikaaa×2.
Ame niambiaaaaa,
Mambo ya maisha yanguuuu,
nime nyeshewaaa na mvua ya barakaaa×2.
(nime nyeshewaaa na mvua ya barakaaa)
nimenyeshewa na mvua ya baraka×11