![HERI ft. TIMAM EVANS](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/13/827d564ee4ee4ae0b1178bf10b7da25a_464_464.jpg)
HERI ft. TIMAM EVANS Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
HERI ft. TIMAM EVANS - Manolo Ke
...
Baba ukisema utanipa millions nitalala nazo account
na pia tena Baba
ukisema kipofu aone atakesha na mamovie kwa couch
Hakuna Jambo lolote usiloliweza
nikitafuta nje yako nimepoteza
itamfaidi vipi binadamu
kuupata ulimwengu na kupoteza nafsi yake
nichukue vile nimecome unijaze na roho wako
utilivu wako
itamfaidi vipi binadamu
kuupata ulimwengu na kupoteza nafsi yake
nichukue vile nimecome unijaze na roho wako
utilivu wako
Heri niwe chini
uniinue juu
kuliko kuwa juu
bila wewe
Heri niwe chini
uniinue juu
nifunze kukungoja aaa
Wako wengi
mashuhuri na viburi
naviliwashusha
kwenye ratings juu Sana
form za kujigamba mitaani
walichachisha
pekee yangu mi siwezani
nijipige kifua
vipi kama nani
nimekuja na wangu huzani
chukua yote niwe mwepesi
Neema yako imepita ganji
nipe maradufu
isifike nijiamini nina kipaji nione nimefuzu
Neema yako imepita ganji
nipe maradufu
isifike nijiamini nina kipaji nione nimefuzu
Heri niwe chini
uniinue juu
kuliko kuwa juu
bila wewe
Heri niwe chini
uniinue juu
nifunze kukungoja aaa
ooh unifunze kukungoja
ninalia
kwa wema wako unijaze
nakuamini wewe Tu
Heri niwe chini
uniinue juu
kuliko kuwa juu
bila wewe
Heri niwe chini
uniinue juu
nifunze kukungoja (Niko kwa shule yako )aaa
Leo Niko kwa shule yako
Heri niwe chini
uniinue juu
(sitaki bila wewe) kuliko kuwa juu(sisongi bila wewe)bila wewe
Heri niwe chini
uniinue juu
nifunze kukungoja
Kukungoja
kukungoja
kukungoja