NDANI (OUTRO) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ndani yako niko huru
Nina uwezo nina uwezo
Kwa jina lako niko huru
Nina uwezo nina uwezo
Ndani yako niko huru (nina uwezo nina uwezo)
Nina uwezo nina uwezo
Kwa jina lako niko huru (nina ushindi nina ushindi )
Nina ushindi nina ushindi
Ndani yako niko huru (umenipa mamlaka)
Nina mamlaka nina mamlaka
Nina uwezo nina ushindi
Yesu we uko juu
Sasa jina mamlaka
Yesu we ukiwa juu
Nina mamlaka
Umeketi kwenye kiti cha enzi
Nina mamlaka
Ooh ulifufuka
Sasa nina mamlaka