Jana Kuliendaje Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2018
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Jana Kuliendaje - Mejja
...
Ah mejja joh bana ulituchomea picha manze
kweli Jana kulienda aje(aje)
kweli Jana nililewa aje(aje)
kweliJana nilifanyaje Joh wasee niambie nilifanyaje
saa tisa kamili ndio mi naamka eeh na umwa na mifupa
nikicheki mlango yangu imefunguliwa lakini ndani hakuna kitu imeibiwa
kujichanganya kujikanganya kweli Jana nini nilifanya izi madent kwani nilipigwa nganya sina memory manze sina clue
Nakuta nimesota kwa meza tu ni mablue
Nakutana na jirani yangu mkamba nikienda lu na msalimia habari mama kwa hasira anajibu utahama.....
nini nilifanya maajabu×3
*chorus
kwa vile sikumbuki kuliendaje naenda baze waniambie nilifanyaje kufika baze manze wanacheka sana
Mejja ulikuwa umewezekana mbaka kindukulu ulikuwa unavuta mwadhara (wacha) eeh kwanza
mbele ya wamother
(si unajuwa bar tender wa pale ju ) eeh
si ni ule mother mnono na miguu
Hata jana ni ye ulikuwa unakatia
umemshika waist mzee nakuambia
No wonder nimejikuta nagongwa kitanda nadhani hata fon amesanyaa
Mejja nakwambia pombe zako mbaya kama inawezekana usiguze bana×3
*chorus
Si unajua ule mama kathanga eeh ule mumama alikuwa na matanga
Jana ulikuwa unamwambia ana mahagaa joooh kweli pombe zangu mbaya
Na gava kuchezea fire ukiwaambia ati wewe ni okuwonkwo huku mtaani ati wewe ndio sonkoo kama si kama ungeshikwa ungejikuta kortini ukistakiwa
izi dent nilichapwa kibaree
manze ulichapa ndio uende ulale
hii pombe nitasare
aah Mejja sa niaje
aah sema joo kuna vile
si ukam ivi Joly nikushikie kimoja
lakini Mejja si umesema umeacha pombe
aah we wacha pombe siachi leo ndaacha kekeeeekeeesho
*chorus
by irene