Waambie ft. Mr. Paul & Mwana FA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Waambie ft. Mr. Paul & Mwana FA - Heri Muziki
...
love is love buddy
dunia nzima maua
mwaga makopa
abaah
nimekupandisha grade ili wasijeshindana nawe
girl yo so amaizing siwezi kufanisha na wale
kwani adui wengi, kamwe hatuwezi jigawa
tulipitia mengi na shetani hapendi
waambie kina nilichozama hakionekani, na niweeeh pekee unanifanya siwatamani,
waambie walipita ila kwako hawaoni ndani
waambiee..eeh waambie eeh..
Chorus
eti hivi, eti vile, wanasema mengi tu,
eti nini, eti wale wanasema mengi tu, I'm in love with you mama oh nana and I'm in love with you mama oh nana and I'm in love with you
Mr Paul:
We ni mzuri wa umbo na roho, ndo nnachokupendea, ukinificha ni mtondogoo wanipa mazagazaga eeh wanifanya mawazo sina, waridhika nikiwa nacho sina, wamejaribu kukuwinda ona vile umekomaa nami..
waambie kina nilichozama sionekani, na ni weeh peke unanifanya nisiwatamani,
waambie, waambie, ni we pekee jua ni weeh
eti hivi, eti vile, wanasema mengi tu,
eti nini, eti wale, wanasema mengi tu, i am in love with you mama oh nana and I'm in love with you, I'm in love with you mama oh nana and I'm in love with you
Mwana FA:
aah, Yes,
mdogo mdogo, usifanye zaidi utaniua
makopa kopa yote yalioko chini ya jua,
so innocent and pure,
mi tu ndo nnae kujua,
acha wa-judge kwa vikuku naa na pini ya pua
sigusi juu sigusi chini, naelea mama
nakupenda leo zaidi ya nilivyopenda jana na kesho zaidi ya leo,
wanga wafahamu mapema,
ni ugonjwa nikizama shughuli nyingine sina,
wataachana tu.., waachane na nani..sio mimi
niko mapenzini binadamu ka jini,
sielewi viumbe wa Mungu wana roho mbaya sa nini,
mapenzi ya watu wengine yanawasumbua kwanini
eti nini, eti vile wanasema mengi tu,
eti nini, eti wale, wanasema mengi tu, I'm in love with you mama oh nana and I'm in love with you, I'm in love with you mama oh nana, and I'm in love with you
acha tu waongee mama