Wish You Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Wish You - Barakah The Prince
...
the sound
vipi umeamka shwaari,
Mimi sio shwaari, Mambo hayajawa vyema kwangu,,
vipi mwanangu haali yake Iko shwaari, kikubwa ni uzima mkewangu.
isikuvunje haali, ukawana huzuuni, hayo ni mapito yote kwangu.
riziki Kwa wote mungu Ndie atoaee! !...
Tusimlaumu yeyote ametufungia, usiamaini chochote, na tuamini mungu atatupatia,
riziki huaga ni Kwa wote, twamini ipo siku atatuangazia nasi nyote yetu iwake, May be itawadia. ..
CHORUS
Oh I wish you, I wish you, I wish you,
marry Christmas and happy new year,
Oh I wish you ,I wish you, I wish you,
marry Christmas and happy new year.
mwaka ukatika nami Niko mbali my love, kabla week kuisha ntatuma chochote mamaa.
sikujui ikifika na mwanangu ale Kwa raaha, babaye nahangaika yasimtese ya dunia shida,.
Ohhh Tena nikiisha ikata simu yangu,
kumbuka piga goti sema na mungu alinde familia yangu, we na mwanangu nyi mlindwe,awalinde .
omba iende vyema mipango yangu, mwakani sio mbali kipenzi changu, muhimu uhai mungu atupe na atulinde, tulinde. ntawaona nyieee
CHORUS
Oh I wish you I wish you I wish you
marry Christmas and happy new year
Oh I wish you I wish you I wish you
marry Christmas and happy new year.
I wish you baby. .. .. I wish you baby... ! in peace and love
I wish you baby. .. .. I wish you baby... ! in peace and love