Permanent Love ft. Joh Makini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Permanent Love ft. Joh Makini - Barakah The Prince
...
Artist:Baraka da prince ft John makini Song:Permanent Love
.........
uhuuu yeahhh mhhhh mhhhh
Parma permanent love×2
zipu yangu tangu ilipoaribika,
hata Wale mahiri wa mitindo kwani walishindwa irekebisha,
Neno nakupenda kwangu,
kwa yeyeto linanitoka,
macho yangu tu yakisha kutamani siogopi kulitamka
Ningetamani Kuwa nawe kwa usiku mmja tyu
nikiruhusu Kuwa nawe nitakuumiza boo,
ukiweza Kushare mapenzi,
niko Tayari me Kuwa nawe,
coz no money no love,
when um get money,
um gone buy love,
( Bridge)
mwenziooo mimi siwez moja mpenz yani permanent love
mwenziooo mimi siwez moja mpenzi yani permanent love
(Chorus)
perma permanent love (no no)permanent love
perma permanent love (I don't want yeah yeah)
perm permanent love ×2(Siitaji yeah)
(Verse 2)
Mahusiano ya kimapenz unaambiwa,
kwanza kabisa inaanza kutamaniwa,
na siku hizi kupendwa si majaliwa,
wa kimwaga pesa unaliwa,
nikikosa pesa utaliwa,
nikitia mzigo utanipenda nitapaliwa,
sipend kutaitiwa,
kuhisi naibiwa,
mtoto kusingiziwa,
ndoto zinakaliwa,
carrier zinaharibiwa,
vaa kiatu changu utaelewa,
uhuru ni kama kilevi juu nishalewa elewa,
siwez kwenda beach na mchanga,
nikute mabeach boys na mabeach juu ya mchanga
(Bridge)
ukiweza Kushare mapenzi
niko Tayari Kuwa nawe
coz no money no love
when ue get money
ue gone by love
mwenziooo mimi siwez moja mpnz yani permanent love ×2(uhhhh yeahhhh)
Repeat Chorus...
(I don wanna×6)×2
written by _CHARRY.X