Karibu tena Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Karibu tena kwenye show za Jeezus..
Muendelezo mwingine wa mapinduzi...
I been listen to your rappers, sifeel bars...
My single line page kwao na niko na many syllabus...
Cheki my store,
unyama basi..
Nisha score many goals na hawajaweka mpira kati..
Ila basi ni hila basi...
Roho zao bado wamekunja na tumewapa sana pasi...
Cheki tu soli usiulize kiatu kinatema...
Nimetoka pabaya we ungekuwa ushaacha kuhema..
Mitihani kibao navuka nascore maksi vyema...
Kwenye show za Jeezus karibu tena.....
Mnyama kabisa mnyama zaidi ya nilivyokua...
Kati wanaupiga mwingi afu golini wanabutua..
Waliziba masikio, wakaweka mdomo mbele...
Wakavimba kichwa wamedondokea pua....
Nabora nibaki poor kuliko kutoa jicho...
Vatu vyangu haviwatoshi nawachukulia simple...
Mbaya hakuna wa kuniondoa, labda kifo...
Kwenye show za Jeezus karibuni my people..
Nainjoy kuwepo kwa wakali sina haja ya kwenda viral...
Nitazame uyape fahari macho yako mi ni cairo...
Can't be workshop ya devil, sikai idle...
Ukiwa manigga ongeza focus usiiabishe hii circle...
Tushafika mahardcore oya bishoo chimba..
Mpaka korogwe mi finest niite boshoo ninja..
Hauna bro kimya, ka unadow vimba...
Dada njoo timba, ila baada ya show mimba..
Na Nilijiona nimekua nilivyojitenga na ma yo yo..
mi ni more zaidi ya kufanya tu izo yo yo..
Necta nilikula four na kila mwezi na withdraw...
So hamtaniona amateur level mtashangaa sha go Pro...
Sipo mainstream ila haijawai nitesa....
jina langu kila mtaa, ka wauza ice cream wa bakhresa...
Hii ni sheria,sheria imepitishwa haipingwi...
Ata nisiposhinda nitazungumzwa na washindi...
Mabishoo wanaumia ila pamba ndo nazinyuka...
Furaha dirty south ka mabovu kafufuka..
Walisema hatutafika na sapoti hawakutupa...
Leo wanashangaa wale twaruka...
Kwetu haimake sense kama haingizi kipato..
Tushajua kutofautisha kuteseka na kuhustle...
Mjanja silali njaa wakati maboya wapo...
Hakuna ka mimi Mungu hakubakisha hii sample...
You thought is over....
I started young... rap, now ni big boy...
Navyocheza na beat kama Kid na Mtoy..
Leo utaacha mwenyewe, umekuta bleed boy.
Mi vitu vinakaa vyenyewe Kidkiomboi...
Asa disi huniboi..
Umekutana na mfupa, we sio fisi hauinjoy..
Pisi haujinoi..
Bila ufundi wako mi sikufichi sikojoi..
Kila Mechi shinda kwenye timu sikung'oi..
Na..
Mi narap fu, till I Die siimbi..
Tajiri wa mashairi, kwenye rap mi ginimbi..
Mshanisifu sana kunja mkono tano nyingi..
Now naufungua men, weka shilingi..
Mkali niliyepitilza Ghafra bin vuu..
Na sijakosea njia rap itanipeleka juu..
Alone no crew..
Na kila versi shangwe sijawai kupigiwa boo..
Namba moja iko wazi, nyie chukueni namba mbili..
I got crazy bars niite T boy Mill..
Kila verse kizazi nikirap wanakill..
Mi ni top of these Rappers muulize ata Siri..
Am out.. Karibu Tena