Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Alikosa boom.. Na home kipato cha ngama...

Akiwatazama machoni ndugu wote wanamtazama mama..

Maisha yaliyokosa nuru giza likazidi kutanda...

Yaleo bora ya jana, wish siku zingeganda..



kwa kila hali alijitoa,mama.....

Ka mzazi aliperform poa,matatizoni kujichomoa....

Zinahitajika noti kuna mda aliona ni tabu.....

akikumbuka ni mwanae alikuwa na kila sababu...



Alisaka huku na kule pale na hapa..

Mwanae asiache shule kesho ije kuwa msaada..

Akamkopa huyu na yule wamama kwa wababa...

Haba na haba mwisho ikajaza kibaba...



Sister alienda chuo mfukoni anayo tu ada...

Jinsi ya kusurvive dar mzigo wake hakuna wa kuubeba...

Akashindwa kuslay na tabia nyingi za wadada..

Mpaka sometime aliwish angedate na wababa..







Mama magonjwa Yakamzidi na anamadeni ya kulipa ...

akiwatazama machoni ndugu wote wanamtazama sister...

Chuo kilichokuwa nuru mwanga ulianza kuzimika...

Hakutaka kukufuru imani bado alijipa..



wanaomdai mama walidai hadi wanaboa..

Chuo hajaperform poa anazo sup za kuchomoa..

Zinahitajika noti za madeni na matibabu....

Alichoka hakuacha ni mzazi anakila sababu...



Alisaka huku na kule pale na hapa..

Amuuguze mama ake coz yeye ndo msaada..

Akamkopa huyu na yule wadada kwa wakaka...

Haba na haba mwisho ikajaza kibaba...



alilipa madeni kadhaa na mama alipata nafuu...

Jinsi ya kusurvive shida wanaomdai wanamjia juu..

Akashindwa kuslay na tabia nyingi za kidada...

Mpaka sometime aliwish angedate na wababa..






Shosti unakalia mtaji acha kuwa mjinga...

Tuangaliae wenzio tunaslay tu kibingwa..

unalolihofia maybe ndo option ya kushinda...

Changamka bibi wee.. Yalikuwa maneno ya rafiki ake linda..



Alihisi Mungu kamtupa mja wake haioni njia..

Anatamani kuishi poa,ila haoni mambo ya kumpatia..

Alichoka kukesha road kila night, alichoka kuwa stripper kila club...

akikumbuka ni kwaajili ake alijiona anakila sababu...



Alidanga huku na kule pale na hapa..

Life likae poa hakuna wa kumpa msaada..

Akamdanga huyu na yule wababa kwa wakaka...

Mazoea hujenga tabia saizi ndo huyu kahaba.. .



Maisha ni safari jamaa, tusio na private daladala za kugomba,

Aliona gari imejaa inambidi kusimama, na atashika tu bomba,

Na kweli alishika bomba...

Ili maisha yawe bomba..


Tunauona upande mmoja coz mwingine tumeufunika..

Kila kitu kinahappen kwa rezon na tunajua fika...

Tunaishia kucomment kabla hatujaiona picha..

Mshushe unavyotaka,but she is still my sister....

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status