Chaser Na Makali Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Hii Ngoma ni Kali hii ni Ngori,
Hio Pombe ni Gani , Usiworry !!
Kaa ni Kali ni Kali UsiHate , UsiHate !!
“ Chaser Na Makali “
Chaser na Makali, Chaser na Makali,
Chaser na Ma, Chaser na Ma,
“ Chaser Na Makali “
Chaser na Makali, Chaser na Makali,
Chaser na Ma, Chaser na Ma,
“ Chaser Na Makali “
Leo sikai kejani ,nikona ganji Flani,
Nataka lewa chakari, Nataka kutoa stress!
Nataka kujivinjari, Nataka keti Mahali,
Mahali Pesa pombe na shida Hazitoshani! Mmh“
Niki Late, Utangoja? utawait?
Ita waiter , aku wait!
see you Later, It’s a date! Is it A Date? “
Niki Late, Utanigoja? utawait?
Ita waiter , aku wait!
see you Later, It’s a date! Is it A Date?
“ Chaser Na Makali “
Chaser na Makali, Chaser na Makali,
Chaser na Ma, Chaser na Ma,
“ Chaser Na Makali “
Chaser na Makali, Chaser na Makali,
Chaser na Ma, Chaser na Ma,
“ Chaser Na Makali “
Aalaaar Aalaaar ,Tumelewa hatutaki Balaaa,
Tumejaza magari Ngataa!
Tuka Fuliza pombe kwa Bar,
Aalaaar Aalaaar ,
“Halla”,
Na Madame wako wapi hapa?
“Hapaa”
Nimekam na mafisi na njaa,
Tupatane jioni kwa bar Mmh“
Niki Late, UtaniNgoja? utawait?
Ita waiter , aku wait!
see you Later, It’s a date! Is it A Date?
“ Chaser Na Makali
Chaser na Makali, Chaser na Makali,
Chaser na Ma, Chaser na Ma,
“ Chaser Na Makali “
(Leta Pombe)
Chaser na Makali, Chaser na Makali,
Chaser na Ma, Chaser na Ma,
“ Chaser Na Makali “
Hii Ngoma ni Kali hii ni Ngori,
Hio Pombe ni Gani , Usiworry !!
Kaa ni Kali ni Kali UsiHate , UsiHate !!
“ Chaser Na Makali “