Free Style Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
“ Naketi chini kufikiri mwanitakia nini?
Me ni mashini Me ni binadamu Me si tumbili,
Mistari kali , kachumbari, pilipili.....(Aaah)
Ki siri siri visu mbili kwa ulimi.......(Aaah)
Ukitaka kua sonko
Anza mdogo mdogo,
Chemsha bongo ,tii masomo,
Kisha kimbiza ndoto
,si haja yenyu ya kwanza nikunijua...? (mmh)
Sinikipatiwanga beat me hurarua..? (mmh)
Ngoma zingine mnatoa zinanishtua... (mmh)
Lakini matope Hukauka chini ya Jua... (mmh)
Na Kachumbari ni jamaa flani mature... (mmh)
After kuwaingiza box mimi Naua.. (mmh)
“ Roho zingine ni chafu lakini hua ... (Aaah)
Tunazipeleka dhobi tunazi fua.. (Aaah)
Chorea chorea, hao wanafiki kama mbolea,
Ukisonga mbele wanachochea.. (mmh)
Siezi Kosa mistaaaa..riiiiii !
Ni K .A.X Kaxumbaaaa..ri ! (Yeah)