Sare Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikushow mara ngapi huwezi- ni -shinda?
Best rapper alive and best new singer!
K.A.X, Kaxumbarii, Yeah!(Bruh)
Kum Kum Baabaaz!
Braka! braka! Braka! Braka!
Kuna neighbor anau-ma ,Ana umama,
Antaka Nihame,
(HAME HAME NIHAME)
Nikam gotea, Asalaamu-al-laikum,
Hope Nyege zilale!
(LALE LALE ZILALE)
Ukomaji na madam, Ukiniwaza,
Untaka Nizame,
(ZAME ZAME NIZAME)
Fuga 'paka' mjamaa, Ukishindwa,
'Nyonga Monkey' Ulale
SIU SARE
Ok!
Nina mabeshte ndani ya gare?
Siu-sare!
Na manzi kitu lazima ahanywe!
Siu-sare!
Kagomba leo lazima kanase,
Siu-sare!
Kachongwe, Siu-sare!
Kabambe, Siu-sare!
Kakisha bamba lazima katemwe,
Siu-sare!
Dame akijipa lazima akatwe !
Siu-sare!
Ni Kitandani ,nyumbani Atamaye!
Siu-sare!
Apendwe...!
Ooooh, Shakira, shakira!
“ Naskia unanishuku?
nikama Me mahabusu!,
wataka kuni sulubu,
Na mungu Mi huabudu
Juu Najivinjari huku,
Na mimi nakunywa supu,
Mapocho pocho na kuku,
Siangukangi patupu!
Basi cheki Luku Luku,
Nanukia maharufu,
Na jina ni Maarufu,
Alama ya DukuDuku !!
Wakibonga kaa kasuku,
Nawapiga marufuku,
Udaku Chu-chu-chu-chu !
Lakini nacheza bubu...
Mtoto ni mtukutu,
mistari hazina kutu,
Huwezi hata thubutu,
kuleta upuzi huku,
Kirende, Mbogi, ikhulu,
Kijana kumbe ni Guru ?
Natema....Thu-thu-thu- thuu
Natena thu- thu- thu...!!
Kuna neighbor anau-ma ,Ana umama,
Antaka Nihame,
(HAME HAME NIHAME)
Nikam gotea, Asalaamu-al-laikum,
Hope Nyege zilale!
(LALE LALE ZILALE)
Ukomaji na madam, Ukiniwaza,
Untaka Nizame,
(ZAME ZAME NIZAME)
Fuga 'paka' mjamaa, Ukishindwa,
'Nyonga Monkey' Ulale
SIU SARE
Ok!
“ Nina mabeshte ndani ya gare?
Siu-sare!
Na manzi kitu lazima ahanywe!
Siu-sare!
Kagomba leo lazima kanase,
Siu-sare!
Kachongwe, Siu-sare!
Kabambe, Siu-sare!
Kakisha bamba lazima katemwe,
Siu-sare!
Dame akijipa lazima akatwe !
Siu-sare!
Ni Kitandani ,nyumbani Atamaye!
Siu-sare!
Apendwe...!
Ooooh, Shakira, shakira!