Ananipenda ft. Marioo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Ananipenda ft. Marioo - Platform
...
Ananipenda
Nikinuna Nuna ananibembeleza
Ananipenda aa
Moyo ushazama kwake eti ameniweza
Verse
Wengi wanasema ni ushamba
Kupenda hama kupendwaa aah
Ila leo nataka niwaambie
Wala sioni kama ni ushambaa
Kupenda usipopendwa aah
Ila leo acheni niwaambie
Aah akinuna siwez kulalaaa
Moyo unaniuma nakosa raha
Namuwaza yeyee
Nikinuna hawez kulala aah moyo
Unamuuma anakosa raha ananiwazaa
Ameitawala akili tena namzibiti
Anizibiti Eeh alipo nipo
Nami nilipo yupo ooh
Ananipenda
Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza
Ananipenda moyo ushazama kwake
Eti ameniweza
Aaah
Ameniweeza
Aah no
Aah no ooh
Eeh
Eti anasema akinywa maji
Ananiona kwenye glass
Na me samaki ye ndo maji
Nampatia nampatia aah
Me mwenyew siwez kula
Yani chakula hakipiti
Hata nikikunywa maji
Ananipatia ananipatia aah
Aah
Kama sio mimi ni wap
Angepata faraja anajiuliza aah Eeh
Nakama sio yeye niwapi ningepata
Faraja me najiuliza aah Eeh
Apendaga ndomana anione
Ndomana alipo Nipo na me nipo yupo
Aah nasema
Ananipenda (ooh na
Nikinuna nuna (ah ah)ananibembeleza
Eeh anasemaaaa
Ananipenda (mimi)
Moyo ushazama kwake Eti ameniweza
Anaa
Ananipenda nikinuna nuna (mmmh Eeh)
Ananibembel eza ooh
Ananipenda moyo ushazama kwake Eti ameniweza