Muhuni Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Muhuni - Mabantu
...
Muhuni akipenda anapenda kweri
Si wanapenda kubang
Muhuni akipenda anapenda kweri
Kumanisha nini
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muhuni akipenda anapenda kweri
Twaah mabantu
Ikitokea wamekutenga dunia nzima
I will be by your side mamaa
(Side mama)
Tena ikitokea ata umeuwa umeletwa kwa
Mahakama
alafu me ndo judge hauna kesi Mama
(kesi mama)
Uliniomba nitulie nikatulia
Fundi we wa kushoto me kulia
Ulipotoka mateso umechoka kulia
Tuzae watoto tumake historia
Asa ukisema unaniacha naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani(unaniacha na nani)
Unaniacha na nani(unaniacha na nani)
Ukisema umenichoka Naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani (unaniacha na nani)
Maana kisirani changu unaekiweza( ni wewe)
Unaeikituliza (ni wewe)
Unaenipa furaha (ni wewe)
The best we ndo best wewe ndio furaha yangu
(ni wewe)
Unanipa amani (ni wewe )
Unaenipa furaha (ni wewe)
The best we ndo best unanifanya nibundukieeee
Chorus
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muuh mabantu
Ikitokea wamekuroga umekuwa chizi
Dampo makopo tutaokota wote
( tutaokota wote)
Tena ikitokea siku ya mwisho
Me peponi alafu we motoni
Uwo moto tutachomwa wote
(Tutachomwa wote)
Nilisimama pale tuliposema simama
Si ndo mashemeji tulipendwa na mama
Sio wa kufa tu na kuzikana ikibidi tufufuke wote kiama
ukisema unaniacha naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani(unaniacha na nani)
Unaniacha na nani(unaniacha na nani)
Ukisema umenichoka Naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani (unaniacha na nani)
Maana kisirani changu unaekiweza( ni wewe)
Unaeikituliza (ni wewe)
Unaenipa furaha (ni wewe)
The best we ndo best wewe ndio furaha yangu
(ni wewe)
Unanipa amani (ni wewe )
Unaenipa furaha (ni wewe)
The best we ndo best unanifanya nibundukieee
Chorus
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muhuni akipenda anapenda kweri
Muhuni akipenda anapenda kwer