NIDEKE Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
NIDEKE - Ray C
...
Mmh aah! Yani matamu pete na chanda hawa na adamu
Mmh aah!! Wino kalamu kwako ninaganda kama sanamu
Naviona ilivyojipania kwako ona raha ninajiibia
Kokote utakapo mwaya we nishike haya kila kitu kwako sawa
Vyovyote kwangu huna baya nafsi ijenigaya ndo nishakolea dawa
Nalegea mi kwako sina kaba
Naelea kwahuban wamabaha
Nidekeze baby nideke
Ooh baby (Nideke)
Ni dekeke (nideke)
Ooh baby (nideke)
Husinibanie mie mwaya (nideke)
Ooh baby (nideke)
Ni dekeke (nideke)
My baby (nideke)
Nikianza sifa si nitamaliza vitabu (mtamu wee)
Nayote yakiunganika mapenzi ndo uwa jawabu
Mwenzako nikikutazama roho yangu mwanana
Macho yakikutanaa chini nainama
Wasome hitima karama penzi livunjike
Wamalize waganga wataalamu si hatudhuriki
Nalegea mi kwako sina kaba
Naelea kwahuban wamabaha
Nidekeze baby nideke
Ooh baby (Nideke)
Ni dekeke (nideke)
Ooh baby (nideke)
Husinibanie mie mwaya (nideke)
Ooh baby (nideke)
Ni dekeke (nideke)
My baby (nideke)