Unanimaliza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Unanimaliza - Ray C
...
Aby Dad
Fire
*******
Unanimaliza wee *
Penzi lako limenikolea usiniweke gizan
unayonipa sijazoea sikuachi honey *
ninapokuona me nataka ongeza manjonjo ongeza manjonjo me natakaga
sitaki mwingine we unanifaa kwenda kwa mwingine me Si dhani
unavyotouch touch kiuno unaamsha amsha yaliyomo
unavyong'ata yako midomo unanimaliza
unanimaliza Weee unanimaliza Wewe *
usikilize maneno ya watu nimekupenda mwenyewe
usikaribishe mioyo ya watu tumependana wenyewe
tutaenda wote vitani vitani Tutapambana Si utani utani
mambo ni mengi Duniani Duniani Aya yaah
tutaenda wote vitani vitani Tutapambana Si utani utani, mambo ni mengi Duniani Duniani Aya yaah
sitaki mwingine we unanifaa kwenda kwa mwingine me Si dhani
unavyotouch touch kiuno unaamsha amsha yaliyomo, unavyong'ata yako midomo unanimaliza
unanimaliza weeee unanimaliza Wewe
unanimaliza weeee unanimaliza Wewe
******Aby Dad****