Wife ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Wife ft. Dayoo - Rasco Sembo
...
Naitwa mangiiii
Oyeyeee!!!!
Mmh mmmh…
Olalaa eeeh eeeh
Sembooo!!!
Oyeeeh….
Aaah..
Ntapiga makofi ma 2 ma 3
Na ukitaka peku,ntavua na viatu
Na maji siwezi kuyabeba kwenye kikapu
Ila ntakupa we uyabebe, waambiane watu
Na me nachokitaka tuwashangazee,
Tuwafunge midomo, wanyamazee
Tuwapostie na picha Tutangazee
Kwenye page za udaku wenye stress watuwazee
Na Naomba Kwanzia Leo waweke akilinii
Kuwa mimi ni wewe na wewe ni mimi
Hata nikikuekea ma kopa ♥️ kwani shida nini??
Hata ukitaka mapacha, Utazaa na Mimi.
Ok kiss me kiss me kiss me bebe
Ok miss me miss me dalyy X2
Mmmmh…
Kama muangazaaa unaniangaziaaa Na
Najiona mbali wewe
Umenipa kipazaa cha kukusifia Na nikupiganie wewe….
Uzuri upoo na sura ipoo🥰 ooooh
Una mboni Yani una jichoo oooh 🥰
Naacha fujo nabeba jikoo me ni wako sisumbuii
Weiiiih…….♥️♥️
Usije ukabadilika ka kinyingaa
Usije ukatonesha na kidondaa
Ushanisahaulisha ya Mjombaa
Usije ukaniumiza please beib NAKUOMBAA
Navyo tizama macho yako….
Napagawaa!!
Na izo lipsi zako …..( Aeeee)
Vile ukitaka fimbo yakoo
Mimi nachachawaa
Beib me ni wakoo
Wewe kwangu ni dozii
Usinitoe chozii
Your my lifeee …
Nikiwa na wee navimba kama boss
Hata ukinipa loss…
Your my wifee
Ok kiss me kiss me bebee
Ok miss me miss me daily X2
Yeee yeeeh
Kama muangaza, unaniangazia Na
Najiona mbalii wewe
Umenipa kipazaaa
Cha kukusifiaa Na.. nikupiganiee wewe
Uzurii upo na sura ipoo oooh …
Una mboni Yani ina jicho oohh
Naacha funjo nabeba jiko..me ni wako sisumbuiii..
Weiii iiii
Ok kiss me kiss me bebee
Ok miss me miss me daily X2
By
@iam_tryzen_