Aibu ft. Baddest 47 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Aibu ft. Baddest 47 - Rasco Sembo
...
Oyah
Kuna stori kibao mtaani zinaenea, Afande kashika kijiti alafu analewa
Manara kasaliti chama kwa pesa ya ngekewa, kwa Kiki za bongo sishangai ** kaolewa
Mama anamtuma mtoto nenda kadange, huku baba nae anagomba nenda kapange
Halafu ukute toto lenyewe Kichwa mibange, mwisho anaona Bora akaishi kunduchi au kwa mpalange
Wengi wanakaa Tabata na wanakula Bata, huku na mabwana zao wanavaa vikuku
Na ukiona mtoto pakata, Kama mkongo unapaka na maisha mafupi ka umeme was luku
Mwana kapendeza Halafu anakuomba bia, Kama chawa anakung'ang'ania
Mtaani zinavuja Siri ana kibamia, demu wake soli ya kiatu anamkanyagia
Bongo wanapenda matope (Bongo wanapenda matope)
Na sinema za ebitoke (Na sinema za ebitoke)
Ubwege bwege ka bushoke, pesa umekunywa pombe nauli vipi ukakope
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Hujui kutongoza unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Na hizo pombe zako unatutia aibu
Aibu unatutia aibu sote tumelewa we ndo unazidisha vaibu
Mara mh unamwita mke wa bosi my boo, unapata stimu wakati wenzako tuko high juu
Anytime unajipromoti, unapewa kazi huwezi fika chaka la boti, (aibu)
Kwenye gwaride unashtua kijoti show za kusimama mwanetu unapiga magoti (aibu)
Boss kaja na daladala (aibu)
Kunyonga nyonya kanyonya ndala (aibu)
Kakosea namba ya wakala, ntu wa dili kaibiwa huko ntwala (weeh)
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Hujui kutongoza unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Aibu unatutia aibu
Na hizo pombe zako unatutia aibu
(Mama anamtuma mtoto nenda kadange)
Halafu ukute toto lenyewe Kichwa mibange, mwisho anaona Bora akaishi kunduchi au kwa mpalange (aibu)
(Kwenye gwaride unashtua..)