Barnaba - Wanifaa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2016
Lyrics
Barnaba - Wanifaa - Barnaba Classic (TZ)
...
This is barnaba boy classic
You want dadieee
Ooooh oooh
Aaah
Niliuza visheti
Nikapanga gazeti
Kukupata wa dhati
ooh
Nilivichanga visenti
Kukutunza wa dhati
Kama vyombo na kabati honey
Mwambie mama juma siyapendi maneno
Mwambie na mahali mie vyangu vitendo
Shida tulizovuka me naye
Twacheni wenyewe
Nazijua miee
Swahiba wangu na yeye
Wake na yeye
Yanini maneno
Oooooh uuuuh
Mwambie mama juma siyapendi maneno
Mwambie na mahali mie vyangu vitendo
Noooo baby eeeh eeeeh
Wanifaaaa
Wangu wa dhati mashalaah
Nilidhika na dhiki wanifaa
Wanifaa
Wangu wa dhiki mashalaah
Wanifaaa
Eeeeh
You’re my desire
Mmmmh you’re my desire
dear darling
Dear darling dear darling
Mmmmmh
Tulipotoka kwelii mbali
Kwel mbali kweli mbali
Baby sarafu ina pande mbili
Nasi tuko wawili
Basi we mwenge mimi kichwa
Wataleta udaku ukweli
Kubadili
Eeeh tusiwe wawili
Eee eee
Achana nao my love
Mwambie mama juma siyapendi maneno
Mwambie na mahali mie vyangu vitendo
Noooo baby eee
My darling darling
Wanifaaaa
Wangu wa dhati mashalaah
Nilidhika na dhiki wanifaa
Wanifaa
Wangu wa dhiki mashalaah
Wanifaaa
Eeeeh
Nikikosea honey nipige magoti
Unasemehe
Mie sio mkorofi
Kuna wengi wanafiki
Unisamehe
Nikikosea darling nipige magoti
Sio mkorofi
Kuna wengi wanafiki
Ma baby
Kababy kababy kbaby