Mapene ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapene ft. Dayoo - Motra The Future
...
yooooop
say
naitwa mangiiiiiii
ooooh yeeah
baba akoo on the tiing⚠️
oyaaaa mapene
hawajatuzidi mapene
yani mapene hawajatuzidi mapene
tena mtoto wa kimaskini
nlozisaka nkazipata
oyaaa
shida zote kwenye dustibin
zimegeuka takataka
🤣
najua njia nlizopita mimi
husofulsa za mashaka
naoga maji ya dukani
ndo mana sikuizi natakata
kama we umezisaka
naleo umezipata
basi we piga kelele
ahhhh
unapata unachotaka
yaaani umejipata
kila siku shereee
oyaaa mapene
awajatuzidi mapene
mapenee
awajatuzidi mapene
ouyaaaa mapene
awajatuzidi mapene
oyaaaa mapeneeee
awajatuzidi mapene
hey
piga makofi piga makofi
piga makofi tafadhali
piga makofi piga makofi
piga makofi tafadhali
oooooooooooh oooohhhhh
ooooooooohhhhh ooooohhhh
oooouh yeaaah
oooooohhhhhhh ohh
kipindi na hustle
kiukweli nilisoteka
sikuwa na faraja
sikuona ata wa kunikopesha
nliona walionicheka
wengine wakiniteta
leo niko na pesa
naomba mniache nikivesha
niko na fungu af nna moyo wa kutoa
apa ukileta shobo
ata demu wako namg’oa
pole sana kama nitakua nakuboa
sikuwai kuzipata
leo nimezioga na kuloa
ahh
nimepiga madili dili
alaf yanetiki
hadi moyo umefeel feel
sitaki kujipunja
hata bebe ni mbili mbili
machawa wote waje
niwachezeshe makili kili
wako wapi wale marafiki
walotusaidia tufanikiwe
alafu tulipofanikiwa wakanuna
ambao hata leo wakiambiwa
stori zetu waaadisie
wataanza kuadisia kuanzia kati kwenda nyuma
huku roho zinawauma
oyaaa mapene
hawajatuzidi mapene
mapene
hawajatuzidi mapene
oyaaa mapene
hawajatuzid mapene
1 for the money
2 for the show
leo nna mapene mpaka shida zinablow
1 for the money
2 for the show
leo niko vizuli mpaka bebe zinajoooh
oohhhhh oooohhhh say wat say wat
oooohhhhh ooooohhhhhh
say wat say wat
moo feel rec🤣⚠️