Loading...

Download
  • Genre:Amapiano
  • Year of Release:2022

Lyrics

Vibe - Amber Lulu

...

Mh mmh

Naenjoy life pesa makaratasi

Nakunywa nalewa nikianguka basi

Hasara roho naitaji nafasi

Nkisha lewa hakuna wakunigasi

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Aeeeh mama

Aeeeh mama

Aeeeh mama

Aeeeh mama

Sa piga miruzi piga miruzi eh

Piga miruzi piga miruzi

Asa piga miruzi piga miruzi eh

Piga miruzi piga miruzi zi wahuni

Narusha mbawa narusha mbwa narusha eeh

Naconnect power naconnect power naconnect eeh

Naruka magoma yote napiga shoti tu

Leo mizuka ka yote mezani npande kwa juu

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Ata liwe tunda (ata lewa leo)

Aliechunda (ata lewa leo)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Mzuka ukipanda najirusha( aaeeh mama)

Sa piga miruzi piga miruzi eh

Piga miruzi piga miruzi

Asa piga miruzi piga miruzi eh

Piga miruzi sasa piga miruzi wahuni

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status