Naogopa ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Naogopa ft. Harmonize - Marioo
...
Kwetu si tuna sherehe mapenzi
Sio makasiriko aah
Kwetu ni furaha tele mana mapenzi
Sio makasiriko mmmh
Ata kama tukishindia tembele ooh my love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele ooh my love
Ata kama tunapanda daladala mi na we my love
Eti chetu chumba kina mavyombo tele inahusu
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza husipokuwepo ntaishije
Mwenzako najua kama unanipenda umeniweka moyoni
Ila nawaza husipokuwepo ntaishije ndo naogopa
Aaaah aaaaah naogopa
Aaaaaaaah naogopa
Aaaaaaaah naogopa
Aaaaaaaah naogopa
Hivi ushangai napendwa ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona siko huru napagawa
Siku zinavyozidi kwenda najiona kabisa ntakufuru
Mana naishi ka kunguru kutwa kuzificha mbawa
Riziki yangu ya papatu papatu
Mara nilipe vikoba upatu
Hvi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindano
Wanaonizidi pesa muonekano
Silazima nikutajie mifano
Yanini kama utayaweza mapambani
Icho ndo kinanipa mawazo
Nikikupost biashara matangazo
Sitoweza kukuchunga mbele za wenye mipunga
Mmh baby (abee)
What can i do (baby)
I no go let you go and i want you more
Oooh baby (abee)
What can i do (baby)
I no go let you go and i want you more
Mwenzako ooh
Aaah naogopa (kweli mwenzako naogopa)
Aaaah naogopa (basi kiota chako ongeza
choyo)
Aaaah naogopa (mana wasije nichoma mkuki wa moyo)
Aaaah naogopa (nana nana iih)
aaah
Konde boy call me number one
Mi mwenzako naogopa aaah
Aaaah mmmmh aaah