Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Hallelujah - Godfrey Steven

...

Halleluyah ninaimba wimbo

Halleluyah ninaimba wiimbo

Halleluyah ninaimba wiimbo

.......

Ni-nasoma maandiko ninakutana na misitari

Misitari inanishauri niuimbe wimbo wa bwana kweli

katika roho na kweli hakika hiyo inampendezaga

na musa na mwanakondoo hilo ndo jina la wimbo

Ni-nasoma maandiko ninakutana na misitari bwana hii

Misitari inanishauri niimbe wimbo wa bwana kweli

katika roho na kweli hiyo inampendezaga

na musa na mwanakondoo hilo ndo jina la wimbo

Na ndipo roho wa bu-busara akaja bwana akanisihi niimbe wimbo wa bwana kweli

Kajawa na hekima ustarabu,amani pendo lake la a-jabu ooohhh moyoni bwanaa

Halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwana

Halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwana

Halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwana

Halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwana


Halleluyah wa bwanaa

Halleluyah wa bwanaaa

Halleluyah wa bwana ooooh

Halleluyah wa bwanaaa


Jina la wimbo ni musa na mwanakondoo

Jina la wimbo ni musa na mwanakondoo ooh

nikifika pale nitauimba wimbo kwa furaha na shangwe nanananotafarani

nikifika pale nitauimba wimbo kwa furaha na shangwe nanananotafarani

Nikicheki pale namuona Musa pembeni Eliya

Nikicheki pale namuona Petro na huyu Jacob

Zaidi ya yote nakuona mfalme...zaidi ya yote nakuona bwana

Halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwana

halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwana

Halleluyah Mimi nitaimba wimbo wake bwanaaa

Halleluyah nitaimba wimbo wake bwana


Halleluyah wa bwanaaa

halleluyah wa bwanaaa

halleluyah wa bwanaaa {ooooh}

halleluyah wa bwanaaa

halleluyah wa bwanaaa {ooooh}

halleluyah wa bwanaaa

halleluyah wa bwanaaa {ooooh}

halleluyah wa bwanaaa

........

....*****....****...****....***...***...****..***..

Lyrics;Joshua Bundala{FB & INSTA)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status