NIMEKUPATA YESU BY AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR (feat. HMGP) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NIMEKUPATA YESU BY AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR (feat. HMGP) - VOCAL MUSIC &LYRICS
...
Verse 1:
Nimekupata Yesu
Nimepata yote
Nimekupata bwana
Sitahitaji tenaaaa (wewe)
Ndiwe hitaji langu
Ngome yangu na mwamba
Tegemeo langu katika hali zote
Cheza moyo wangu
Upendo nikupende
Urafiki wa kweli
Nifundishe kupenda aaaah bwana
Maana upendo wako
Ndio pekee waweza kunifanya
Kiumbe kipya nikakufuateeee (iiiiyeeeeh)
Chorus:
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Upendo ule wa dhati
Upendo usiobaguaaaaa
Upendo uletao
Hekima busara na amani
Upendo wa kimbingu
Pekee uliobora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Upendo ule wa dhati
Upendo usiobaguaaaaa
Upendo uletao
Hekima busara na amani
Upendo wa kimbingu
Pekee uliobora
Verse 2:
Wapenzi wa dunia
Wengi wadanganyifu
Niwapo katika hali nzuri tupo woteeee (lakini)
Katika matatizo wote wanikimbiaaaa
Wewe nimekupata nitakushikiliaaaaa
Chorus:
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Upendo ule wa dhati
Upendo usiobaguaaaaa
Upendo uletao
Hekima busara na amani
Upendo wa kimbingu
Pekee uliobora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Upendo ule wa dhati
Upendo usiobaguaaaaa
Upendo uletao
Hekima busara na amani
Upendo wa kimbingu
Pekee uliobora
Verse 3:
Nakukaribisha bwana (iyeeeh)
Uyatawale maisha (iyeeeeh)
Yetu ya kila siku
Tufundishe kupandaaaaa (mbegu)
Za upendo wa dhati
Mwisho wa nyakati
Tuuuweze kuvuna matunda ya ukamilifu
Kamilisha upendo
Kwa waliooana
Dumisha ndoa zao
Furaha itawaleeeeeee (bwana)
Bembeleza unyonge
Na udhaifu wao
Familia iwe mwanga wa mbingu’uuuh
Chorus:
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Upendo ule wa dhati
Upendo usiobaguaaaaa
Upendo uletao
Hekima busara na amani
Upendo wa kimbingu
Pekee uliobora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Upendo ule wa dhati
Upendo usiobaguaaaaa
Upendo uletao
Hekima busara na amani
Upendo wa kimbingu
Pekee uliobora