Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2009

Lyrics

Hayakuwa Mapenzi - Sugu (TZ)

...

Yeah

namnagani mchumba sio kwamba nina hasira inabidi tuongee tu sio au sio, maana ake long time atujaongea sio na hata sijui nini kilitokea hasa mimi labda wewe unajua!! lakini mimi sijui, mimi sijui,

Nikama nyimbo ya mapenzi, nikama nyimbo ya penzi,

(Yeah) Yale hayakuwa mapenzi, yale hayakuwa mapeenzi,

Mbona nilikupa penzi lakini nashangaa ukashindwa kulienzi,

Yale hayakuwa mapeenzi, oohh yale hayakuwa mapeenzi,

mbona nilikupa penzi lakini nashangaa ukashindwa kulienzi

Naamini nilikupenda na ndio maana sikupenda ulipo amua kwenda, na mpaka leo najiuliza sijui ningefanya nini ndo nisinge kupoteza, nilifanya kilakitu nilicho weza,

Kumbuka nimara ngapi mtu mzima ulimliza (choozi),

Sikutaka tuachane tulikaa muda mrefu, tulijuana kwa mapana na marefu, na tulifurahia pamoja muziki ulipo nipa umaarufu,

see lyrics >>

More from Sugu (TZ)

Listen to Sugu (TZ) Hayakuwa Mapenzi MP3 song. Hayakuwa Mapenzi song from album Hayakuwa Mapenzi is released in 2009. The duration of song is 00:04:41. The song is sung by Sugu (TZ).

Related Tags: Hayakuwa Mapenzi, Hayakuwa Mapenzi song, Hayakuwa Mapenzi MP3 song, Hayakuwa Mapenzi MP3, download Hayakuwa Mapenzi song, Hayakuwa Mapenzi song, Hayakuwa Mapenzi Hayakuwa Mapenzi song, Hayakuwa Mapenzi song by Sugu (TZ), Hayakuwa Mapenzi song download, download Hayakuwa Mapenzi MP3 song

Comments (5)

0/500

    New Comments5

    Emmanuel Kidunu

    jongwe shkamoo

    Tanzania

    chinenda

    dah mwamb aliimba kwa hisia sana.

    Tanzania

    Samuel Mlapwav9qiy

    hadi leo 2023 ni kama imetoka jana

    Tanzania

    Patrick_Patty_Lous

    the best miaka yote[0x1f63f]

    Tanzania

    JOHN MHINAf4fb1

    one of my favorite bongo track of all time

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status