Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2021

Lyrics

Nimechelewa - Lameck Ditto

...

inauma sana pale wazo langu lilipobakia kuwa wazo.Na la mwenzangu kuwa tendo. ukimya wangu na upole siku zote wa kujivunia leo tofauti ustaarabu naujutia ukimya wangu na upole siku zote wa kujivuna leo tofauti ustaarabu naujutia. wakati nawaza mwenzangu kafanya wakati napanga mwenzangu kamaliza. naijutia siri kuwa ya moyo si kuisema. nimechelewa kusema,mdomo zaidi ya moyo wangu ukauponza . nimechanganyikiwa kumkosa tunu la moyo wangu ulompenda. nimechelewa kusema,mdomo zaidi ya moyo wangu ukauponza.. nimechanganyikiwa kumkosa tunu la moyo wangu ulompenda. laiti ungejua mapenzi mengi niliyonayo laiti ungejua moyo wangu unavyouma si kwa kukataliwa wala kuulizia, bali kwa kuchelewa. Ni mengi tunayopanga.ni mengi tunayowaza hakuna wa kututonya muda upi ni mwafaka. najihisi nina nuksi, najiona kama nina laana. kutoka kinywani tonge wamelichukuwa. wakati nawaza mwenzangu kafanya wakati napanga mwenzangu kamaliza. naijutia siri kuwa ya moyo si kuisema. nimechelewa kusema,mdomo zaidi ya moyo wangu ukauponza . nimechanganyikiwa kumkosa tunu la moyo wangu ulompenda. nimechelewa kusema,mdomo zaidi ya moyo wangu ukauponza.. nimechanganyikiwa kumkosa tunu la moyo wangu ulompenda.

Similar Songs

Listen to Lameck Ditto Nimechelewa MP3 song. Nimechelewa song from album Nimechelewa is released in 2021. The duration of song is 00:04:50. The song is sung by Lameck Ditto.

Related Tags: Nimechelewa, Nimechelewa song, Nimechelewa MP3 song, Nimechelewa MP3, download Nimechelewa song, Nimechelewa song, Nimechelewa Nimechelewa song, Nimechelewa song by Lameck Ditto, Nimechelewa song download, download Nimechelewa MP3 song

Comments (3)

0/500

    New Comments3

    frank jamesbxuw1

    If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347063796632

    Nigeria

    clintonb1u2p

    nyimbo nzuri sana

    Kenya

    shwari ahmad

    ditto hakika ni fundi saana

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status