Loading...

Download
 • Genre:Afrobeats
 • Year of Release:2017

Lyrics

Nabembea - Lameck Ditto

...

Mbona ndo nashindwa kuacha macho yapambane na hali yake, Maana iman nayo inatakaa, mawazo yananishinda kujenga choyo nisihisi hisia zake majaribu nayo yananifataa

kuna vidudu vyenye mvua ndo nkwambie labda kuna nyakati natamani kujikuna mgongoni sifikii ,,na baridii ikija mvua haisomagi rada ndo maana natamani kukuonagaa tena nataka kuthubutu kukupa wazo zuri nikikumbuka nafsi inasita mimi kwanza sifuri ,,bado najishukuru kutengua kauli acha niwaze nitafute kesho saa sita nipoje sijui sijielewe......

Bado nabembea, sipo juu sipo chini nipo hewani nabembea kupendwa natamani ila naogopa, Bado nabembea sipo juu sipo chini npo hewani nabembea kupendwa natamani ila naogopa bado nabembea (ila naogopa)

verse2 .mwenzako silali kutwa napigwa jua kwenye kimbeo mchezo wa mapenzi kamali nimeumbwa na dosali ambazo sishangai leo japo na sifa hodari nyama kama laini ila kisu naona butu nikiwaza firigisi maini nayawaza masupusupu nataka kudhubutu kukupa wazo nikikumbuka nafsi inasita mimi kwanza sifuri bado najishukuru kutengua kauli acha niwaze nitafute kesho saa sita nipoje sijui sijielewiii ,,bado nabembea×2

Similar Songs

Listen to Lameck Ditto Nabembea MP3 song. Nabembea song from album Nabembea is released in 2017. The duration of song is 00:03:29. The song is sung by Lameck Ditto.

Related Tags: Nabembea, Nabembea song, Nabembea MP3 song, Nabembea MP3, download Nabembea song, Nabembea song, Nabembea Nabembea song, Nabembea song by Lameck Ditto, Nabembea song download, download Nabembea MP3 song

Comments (11)

0/500

  New Comments11

  Nemes Kimaro04

  [0x1f627][0x1f627][0x1f627] blessed Ditto

  Tanzania

  frank jamesbxuw1

  If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347063796632 time the job is done +2347063796632

  Nigeria

  King_of_Everything

  [0x1f627][0x1f630]

  Tanzania

  ruki ally

  ngoma tamu sana rudi tena kwenye gemu ditto bado tunakuhitaji

  Tanzania

  Mohtist255

  [0x1f600][0x1f600][0x1f600][0x1f623]

  Tanzania

  rajabukulwa377@gmail.com

  [0x1f642]

  Tanzania

  King Pol Matic

  ngoma hii inakosha sana nimeikubali kinyama

  Tanzania

  Noel Boedyblvet

  this guy is cool nice song its ma favorite

  Tanzania

  Rahma Allydebaz

  like da song

  Tanzania

  daniel rachel

  Nice song[0x1f636][0x1f636][0x1f607]

  Tanzania

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status