Haijakaa Sawa
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Haijakaa Sawa - Mbosso
...
Sasa unanuna nini? Au unadhani hata mimi napenda Nishazichoka na mimi Mboga za majani kila siku mlenda Siko juu siko chini Niko nusu sadoo Sio wa kumi si sabini Ngoma ngumu bado Kama ibada naswali sana Usiku wa manane Tena nafunga na Suna Mambo bado bado mwana wane Naona yanazidi kuguma Nikirudi na hasira hasira (nizoee) Mambo magumu bado bila bila (niombee) Nikirudi na hasira hasira (nizoee) Mambo magumu bado bila bila (niombee) Halijakaa sawa Nivumilie ipo siku tutapata Halijakaa sawa Shida na dhiki zitakwisha baby Halijakaa sawa Kuchana kope make up utapaka Halijakaa sawa Tutabadili mboga kuku kwa manyama Chochea kuni kipenzi changu Asubuhi tumbo likikuming'inya Pokea kidogo changu Tunywe chai na mkate wa kumimina Akili ikichoka riziki nikikosa Najua kwako nitajiliwaza Kama makosa nivute chumbani Kununa nuna unajilemaza Ustahimilivu mnao wachache mno Jua shida rafiki wa mbivu Baada ya dhiki mavuno Kila jema lina maumivu Na kwenye waliopo tumo Yarabi salama tupe tulivu Penzi lisifike kikomo Iyee eeh eeh Nikirudi na hasira hasira (nizoee) Mambo magumu bado bila bila (niombee) Nikirudi na hasira hasira (nizoee) Mambo magumu bado bila bila (niombee) Halijakaa sawa Nivumilie ipo siku tutapata Halijakaa sawa Shida na dhiki zitakwisha baby Halijakaa sawa Kuchana kope make up utapaka Halijakaa sawa Tutabadili mboga kuku kwa manyama
Similar Songs
More from Mbosso
Listen to Mbosso Haijakaa Sawa MP3 song. Haijakaa Sawa song from album Haijakaa Sawa is released in 2020. The duration of song is 00:03:08. The song is sung by Mbosso.
Related Tags: Haijakaa Sawa, Haijakaa Sawa song, Haijakaa Sawa MP3 song, Haijakaa Sawa MP3, download Haijakaa Sawa song, Haijakaa Sawa song, Haijakaa Sawa Haijakaa Sawa song, Haijakaa Sawa song by Mbosso, Haijakaa Sawa song download, download Haijakaa Sawa MP3 song
Comments (73)
New Comments(73)
G Muniss
emmamligo
my favorite song♥️♥️
makubaz
from Mumbai,,haijakaa sawa ,,tutabadili mboga kuku kwa manyama ,,❣️❣️
Da_Dpain
i really love this song but unfortunately I don't know the language .. but it didn't stop me from listen to tanzanian music ❤️❤️❤️
Matthew Kiplagat0pj7l
[0x1f628][0x1f628][0x1f628]
De black Malkia
❤️❤️
Salu Dizzo
bless
fisi walker
[0x1f653][0x1f653][0x1f653]
antonygd1bu
iko poa
30552020
kenya ksm.
CK the Eng
hasaaa
ntakuzoea babe wangu ucjali[0x1f623][0x1f621][0x1f60e]
Sarah Movine
kenya
Huyu mwamba namkubli sanaa