Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

This song is not currently available in your region.

Lyrics

Ndoano - Dizasta Vina

...

Okay Ah Chukua kitabu fungua page sixty three Tusome hii part ya love and its mystery Haiwezi elezwa kwa science, math labda history Inaitwa ndoa ni half loss half victory Kauli ya kwamba sikuachi mpaka kifo ni kama sifa Inasemwa na wengi ila wachache wanamaanisha Wale wapambe na mashahidi wa kujivika Au keki na maua ambayo mwisho hupukutika ni... Nini maana ya suti shela au rangi ya bazee? Nini maana ya vile vikao kadi tarehe? Nini maana ya maandalizi hadi sherehe? Nini maana ya kiapo kwa padri na sheikh? Imeandikwa "Kila penye watu lipo la kujifunza" Tembea uone kukaa ndani ni kujifunga Kama wanandoa si binadamu wanaofugwa Kwanini iwekwe ahadi isiyoweza kutunzwa? Ndoa ni..? NDOANO Ndoa ni ile iliyoandikwa na sheria au dini? Au shuruti baada ya hatia ya kuzini? Ni jukumu unalovishwa baada ya ugoni? Au bashasha unalojivika usoni Watu wajue umeridhia, makubaliano na riba za njaa Ahadi ya kuwa pamoja kwenye shida na raha Ahadi inayovunjwa ka' sheria inavyopindwa na jamaa Ndoa si akiba ni sanaa Ndoa ni... Sanaa ya kukaa nafasi ya mwenzi Sanaa ya kusahau maudhi na kuzikumbuka tenzi Za msamaha au kuzuga kujutia kitendo Sanaa ya kuzuga kubadili mwenendo Ndoa ni... Ule umoja mfano wa timu Kwenye mechi wanaomba mapumziko Ndoa inafungwa na sala na toba za mizimu Lakini inavunjika kwa meseji moja tu ya simu Ndoa ni... Hakuna kitu halisi kwenye ndoa labda huyo mtoto Ni idadi ya vipande baada ya kuvunja vyombo Ndoa si pete zinazozonga mikono Ndoa ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono Ndoa ni... Ni ka' kikundi cha masela Wanaodhani kuwa wamekua Ndoa ni kuvumilia maudhi yanayokera Ndoa ni maigizo yasiyo na hela ndoa ni jela Ndoa ni.... Kuzijua kelele Kutambua shangwe na vigeregere Ambacho hautajua milele Unapodondosha chozi kwa mchezo uliouchagua mwenyewe Ndoa si... kwa ajili yako ni kwa ajili ya watoto Kuweka ndoto kando na kuzivaa changamoto Ndoa ni kukumbatia kaa la moto Ndoa ni jua kali ndoa ni joto Ndoa ni.... NDOANO Ah Asiyejua ni nani? Kuwa mlioana msikitini na mkaachana mahakamani Kwa kuwa ndoa si nyepesi ndoa ni yai Ndoa ni kama kesi ya jinai, ndoa ni... Ndoa ni hukumu wanasema Ndoa ni ngumu jamani, ndoa ni sumu Au mpaka mume alete... UKIMWI nyumbani Ndio uamini kuwa ndoa si tunu Ndoa ni maisha baada ya harusi Ile sherehe uliyoiota ndotoni Ndoa si drama mbele ya watu nyomi Ndoa ya kweli huanzia moyoni Ndoa ni... FUMBO

Similar Songs

Listen to Dizasta Vina Ndoano MP3 song. Ndoano song from album The Verteller is released in 2021. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Dizasta Vina.

Related Tags: Ndoano, Ndoano song, Ndoano MP3 song, Ndoano MP3, download Ndoano song, Ndoano song, The Verteller Ndoano song, Ndoano song by Dizasta Vina, Ndoano song download, download Ndoano MP3 song

Comments (8)

0/500

    New Comments8

    Nice Jerry

    Please matured minds .... If you have a zenith Bank/ Access Bank monie point /ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit..! I have a direct zenith log and ecobank log tools now available ..! Please and please the account needed is account that has a good transaction history, account that’s unlimited in terms of transaction of millions for the past years or months. I'm ready for job 24/7 Just 5 hours time the job is done…!! +2349166580100

    Nigeria

    Nafmc

    Kazi kubwa

    Kenya

    patocvgio

    duh

    Tanzania

    patocvgio

    fire

    Tanzania

    mzitto 4

    ndoa ningumu jamani

    Tanzania

    Lexalzsoko

    Good work hiiii ngoma ya Dunia

    Tanzania

    hubert_rock

    p1 bro

    Tanzania

    Dizasta vinapn8ru

    Nakubal broh

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status