
Lala Salama (Magufuli)
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Lala Salama (Magufuli) - Tanzania All Stars
...
Mbosso
Nalifuta chozi kushoto kulia latiririka maumivu moyo wa moto, nafsi yakatalika milio wakubwa watoto iyoo zinasikika wanyonge zetu changamoto wapi zitashikika
Christina Shusho
Umelala ooh, baba umelala wee nenda wee magufuli nenda wee tulikupenda mungu kakupenda zaidi baba nenda wee baba nenda wee
Jux
Yaani baba(baba) tutakukumbuka kwa mazuri yako..sema baba(baba) tutakukumbuka kwa upendo wako..ooh aah
Kuna muda na legea nakosa power nasema nobody no hii sio sawa mbona kuna wengi tu walipaswa kwenda ubanijibu no uyu nimependa...umempenda John umemchukua John umetuacha hatuoni si alfajiri sio jioni tukifikicha mboni kule mbele hatuoni mungu akulaze baba mahali pema peponi
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Tanzania All Stars Lala Salama (Magufuli) MP3 song. Lala Salama (Magufuli) song from album Lala Salama (Magufuli) is released in 2021. The duration of song is 00:10:57. The song is sung by Tanzania All Stars.
Related Tags: Lala Salama (Magufuli), Lala Salama (Magufuli) song, Lala Salama (Magufuli) MP3 song, Lala Salama (Magufuli) MP3, download Lala Salama (Magufuli) song, Lala Salama (Magufuli) song, Lala Salama (Magufuli) Lala Salama (Magufuli) song, Lala Salama (Magufuli) song by Tanzania All Stars, Lala Salama (Magufuli) song download, download Lala Salama (Magufuli) MP3 song
Comments (220)
Top Comments (2)
rasuli samiji
Banda Juma
mda sasa sijaongea kuhusu wewe mwamba wa chatu anko huku tuko poaw lkn mama hana jipya chenga nyingi sana pumzika jeshi lkn nimesahu washikaji zako wamachinga wanazinguliwa kila kukicha
New Comments(220)
lilyyej55
its nice to see how tanzania musicians have unity both secular artist and gospel artist where magufuli is he will truely rest in peace knowimg that.tanzania is safe and at peace .RIP baba yao
Tee 96dp8
Safari njema baba
Robert 5wjj6
If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271
Samwel meshack ik50t
Safari njema baba
hance_bright
kzaz xan dady
@official One D
happy journey
Irene mathias wzhj3
umegusa penyewe
mda sasa sijaongea kuhusu wewe mwamba wa chatu anko huku tuko poaw lkn mama hana jipya chenga nyingi sana pumzika jeshi lkn nimesahu washikaji zako wamachinga wanazinguliwa kila kukicha
Yucko King
[0x1f614][0x1f614][0x1f614] rest ezly peace
Magreth Maina
[0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]mungu akujalie kauli thabiti inshaallah akupunguzie adhabu ya kaburiii[0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]daaah kifoo nifumboo pumzika kwa amani tupo nyuma yako
Jan ommy de ambition
still resting in peace[0x1f625][0x1f653][0x1f653][0x1f653]
Doris fi53k
had leo hii bado nakukumbuka baba pumzika kwa amani magufulii[0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653] unaendeleaa kukumbukwa na watanzaniaaa [0x1f614][0x1f614][0x1f614]
Dieudone Washikala
inanichoma moyoni i like it slowly song
[0x1f614] inanichoma moyoni i like it slowly song [0x1f629]