Lala Salama (Magufuli) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Lala Salama (Magufuli) - Tanzania All Stars
...
Mbosso
Nalifuta chozi kushoto kulia latiririka maumivu moyo wa moto, nafsi yakatalika milio wakubwa watoto iyoo zinasikika wanyonge zetu changamoto wapi zitashikika
Christina Shusho
Umelala ooh, baba umelala wee nenda wee magufuli nenda wee tulikupenda mungu kakupenda zaidi baba nenda wee baba nenda wee
Jux
Yaani baba(baba) tutakukumbuka kwa mazuri yako..sema baba(baba) tutakukumbuka kwa upendo wako..ooh aah
Kuna muda na legea nakosa power nasema nobody no hii sio sawa mbona kuna wengi tu walipaswa kwenda ubanijibu no uyu nimependa...umempenda John umemchukua John umetuacha hatuoni si alfajiri sio jioni tukifikicha mboni kule mbele hatuoni mungu akulaze baba mahali pema peponi
Joel Lwaga
Kweli vyema havidumu ni machozi na uchungu ni ghafla...ni ghafla asante kwa kujenga Tanzania imara nenda nenda ulale
Chorus(Diamond Platinumz) Ulale salaama(pumzika baba) Ulale salama (kazi umeifanya) Ulale salama(tutakuenzi daima) Ulale salama
Zuchu
Huzuni umetawala jembe Tanzania lumetutoka yaani nikama mashara leo taifa tunauzumika babab uende salama tutakukumbuka sana akupokee maulana amina..
Miondo mbinu tumeona(ona) elimu bure tunasoma(soma) makao makuu kwetu Dodoma umetupa heshima baba
Eti njia yetu ni moja umetangulia si tunafuatia tunajikongoja taifa laumia tunakulilia