Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Mahakama - The Ngomongo Ministers

...

Nakabiliwa na kesi mahakamani mazingira ya chumba hicho ni tofauti na mahakama mengine,yaliyokuwepo katika historia...kimya kilitanda wakati kitabu cha kumbukumbu kilichokuwa na rekodi yangu kilipofunguliwa ma kusomwa naye hakimu.Haki iliingia ikageuka upande wangu na kunihukumu kulingana na hatia zangu

Vitabu viliposomwa na hukumu yangu kutolewa hapakuwa na rufaa yoyote ndipo rehema ikaingia ikitembea na kusema haki imekiri kwa kuingia kwa Yesu makovu ya msalaba bado yaonekana katika mwili wake,(dhambi zangu alizifunika kwa damu yake ya thamani)*2

Nilikuwa nimesimama kizimbani nikishangaa kushngaa sana jinsi mwenye hatia kama mimi aalivyowekwa huru...ni jinsi gani haki imewekwa kando ukweli wa kutisha uliposomwa juu yangu ushirika wa kutisha mwenye dhambi mkuu akisimama upande wa kiti cha hakimu....

Similar Songs

Listen to The Ngomongo Ministers Mahakama MP3 song. Mahakama song from album Neema Kwa Fakiri is released in 2023. The duration of song is 00:04:52. The song is sung by The Ngomongo Ministers.

Related Tags: Mahakama, Mahakama song, Mahakama MP3 song, Mahakama MP3, download Mahakama song, Mahakama song, Neema Kwa Fakiri Mahakama song, Mahakama song by The Ngomongo Ministers, Mahakama song download, download Mahakama MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status