Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Hofu - The Ngomongo Ministers

...

Hofu ilikuwa katika kundi lile wakati kila mmoja alichunguza mikono yake,mingine imefanya vurugu na makosa mengine,lakini mingine ilifungwa kwa sala mingine ilukuwa ya kugaidi lakini yeye msaliti alikuwa rafiki aliyemjua na mwanafunzi wake..


Je! Mikono yako ina kitu sawasawa na yake? iliyomuuza rafiki wa dhati,ilitumika kubeba nyundo? Iliyopiga misumari na mkuki uliyomchoma je ni ya jinai? Haionekani kuwa ya mwongo,hata ya mwizi,nawa mikono yako mrudie maana anasubiri.


Mikono yao imefunikwa kwa mengi wasiweze hata kudai kuwa wenye haki,baadhi kazoea hesabu na kuweka rekodi,moja mikonoe itapigwa msalabani kwa huduma ya bwana ishara ya pendo,lakini wale waovu wangali na damu katika viganja vyao na vidoleni mwao.

Listen to The Ngomongo Ministers Hofu MP3 song. Hofu song from album Hofu is released in 2022. The duration of song is 00:06:13. The song is sung by The Ngomongo Ministers.

Related Tags: Hofu, Hofu song, Hofu MP3 song, Hofu MP3, download Hofu song, Hofu song, Hofu Hofu song, Hofu song by The Ngomongo Ministers, Hofu song download, download Hofu MP3 song

Comments (16)

0/500

    New Comments16

    omosh Wuod Nyakisumo vvrwr

    Amen

    Qatar

    Alphonce Angiro

    Powerful message my people , i feel touched by what Christ went through for my redemption.

    Kenya

    Beatrose

    honestly have been waiting for this song ...such wonderful song ....GOD bless you my friends ..to GOD be the glory

    Kenya

    Guruuman

    to God be the glory

    Kenya

    Lydia 7n169

    so touching to my heart ....

    Kenya

    AMBAVYO

    Amen

    Kenya

    priscahgqte4

    mbarikiwe sana...

    Kenya

    hezzy zekky

    God bless you guy nmependa hii kazi

    Kenya

    sosthene lumus

    amen[0x1f60e]

    Kenya

    Manu Opar

    Are your hands stained? Deep message,may God bless your beautiful voices.

    Kenya

    avivohoward1

    Amen Amen blessings my team

    Kenya

    Samidohffceu

    The song for me l like it it's more than dope It's Sammy broh wa Debby keep on feeding us with God's word

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status