Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Mungu ni Nani? - The Saints Ministers

...

Macho yako Mungu huona duniani kote; hatua zetu salama, nawe hauchoki nasi Mungu tujapotanga mbali nawe, watufuata kwa upole, tugeukapo upo pale.

Jamani tunaanguka, tunavunjika lakini Mungu ni nani? Atusimamisha tena. Tumepona, tuna nguvu, tu washindi, Mungu atukuzwe.

Jamani tunaanguka tunavunjika, lakini Mungu ni nani? Atusimamisha tena. Tumepona, tuna nguvu, tu washindi Mungu atukuzwe.

Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje; Mungu uwe kwangu imani inadidimia, machozi yamenifumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunza.

Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje; Mungu uwe kwangu imani inadidimia, machozi yamenifumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunza.

Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani? Anisimamisha tena. Nimepona, nina nguvu ni mshindi Mungu atukuzwe.

Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani? Anisimamisha tena. Nimepona, nina nguvu ni mshindi Mungu atukuzwe.

Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya nakutafuta kote uliko, masaibu yanisongapo. Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume tuwe wateule wako Bwana ujapo tusimamisha.

Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya nakutafuta kote uliko, masaibu yanisongapo. Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume tuwe wateule wako Bwana ujapo tusimamisha.

Jamani tunaanguka tunavunjika, lakini Mungu ni nani? Atusimamisha tena. Tumepona, tuna nguvu, tu washindi Mungu atukuzwe.

see lyrics >>

Listen to The Saints Ministers Mungu ni Nani? MP3 song. Mungu ni Nani? song from album Mungu Ni Nani? is released in 2023. The duration of song is 00:05:29. The song is sung by The Saints Ministers.

Related Tags: Mungu ni Nani?, Mungu ni Nani? song, Mungu ni Nani? MP3 song, Mungu ni Nani? MP3, download Mungu ni Nani? song, Mungu ni Nani? song, Mungu Ni Nani? Mungu ni Nani? song, Mungu ni Nani? song by The Saints Ministers, Mungu ni Nani? song download, download Mungu ni Nani? MP3 song

Comments (14)

0/500

    New Comments14

    liz Opiyoye4dl

    amen

    Kenya

    Ben Molags4r7

    @lucysongok:

    we surrender to you ooh Lord [0x1f60e][0x1f60e]

    lucysongok:

    very insipiring ..indeed God lifts us up every time we fall..

    Kenya

    Ben Molags4r7

    this is awesome ,our God is great [0x1f60e][0x1f60e]

    Kenya

    Sheila Ayiekoddy3u

    best singing group ever your music always lift me spiritually keep being blessed na producer wenu abarikiwe beyond his imaginations nawapenda bure

    Kenya

    Gathoniy67a5

    blessings upon blessings to you

    Kenya

    Eliud n982f

    wonderful item

    Kenya

    lucysongok

    very insipiring ..indeed God lifts us up every time we fall..

    Kenya

    naumy6kgjd

    Lakini Mungu ni nani?

    Kenya

    Malwayne

    awww this is so awesome May God continue working through you

    Kenya

    Emmanuel ao4fe

    This is it..

    Kenya

    Tinacbfq9

    This song keeps reminding me of how amazing my God is.

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status