Loading...

Download
  • Genre:Others
  • Year of Release:2023

Lyrics

Pesa - Vadee

...

ohoooo kwenye vikao vya ndugu neno lako halina maana kama huna pesa wacha wakutumetume huna kitu we tulia pesa ndiyo inaongea hizo ndevu za ukoo heshima ni pesa kidume pambana sana cku moja utapaa dada wanapenda vidume wenye chapaa ukiwa na pesa nyingi hata kama ni kibabu utapata pisi kkali warembo wanachotaka ni pesa tafuta pesa popote huepuka kucmwangwa lkn utakapo pata ucwe na macmango kuangazibwa kubeba wengine kutoka chini nenda katafute pesa ohooooo yeeeeeh mmmmh hiv kwann pesa mbona unatutesa mbona unatuyumbixha watoto wanaumia kkuna aliokosa salio ohoooohoo kunawengine vilio ohoohoo utapata unachotaka utakwenda unakotak dubai misele mingi kkama na pesa ukilala watu awalali wa2 wanasaka pesa ucxema cku hizi akuna pesa watu watakucheka watu wanapesa unaonga mafuta ya baby care watu wana care kwa kuonga millionea tatiji haxemi xana madiri yataxambaa tajiri anajari mda ona kwet makapuku atuna time na mda tunaxhinda vijiweni tukisambaza umbea kila kitu tunacopy chetu kitakua kipi asilimia ni moja tu tunayofikili cc lkn 9 kwa 9 tunacopy kutoka nje jimbo limejaa uzungu vitu vya kijingajinga ndyi tunavishikilia kama vipi tuviache korusi korusi korusi huwezi kuwa tajiri kama ujaseti mipango tumia ubongo wako hicho ndicho kiwanda chako cha kuchakata kupat pesa ahiiii ubongo ukiwa smart nguvu nyingi za nnini tumia nguvu kidg kama biligeti hili kuzixaka pesa ucfikiri kupata ni kazi nyepesi sana ni vyema ufikiri xana kuliko kufanya xana ehiii vijana wa cku hizi tunataka tukilal tuamke na utajiri bila ya kufanya kazi lazima tufanye kazi taifa linaitaji vijana wachapa kazi utahili ni furaha kinachokupa furaha hicho ndy kinakufaa ikiwa kkama ii ia basi kunywa bia ______________________ -

Listen to Vadee Pesa MP3 song. Pesa song from album Pesa is released in 2023. The duration of song is 00:03:30. The song is sung by Vadee.

Related Tags: Pesa, Pesa song, Pesa MP3 song, Pesa MP3, download Pesa song, Pesa song, Pesa Pesa song, Pesa song by Vadee, Pesa song download, download Pesa MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status