- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
Mama - THEO JEEZEY
...
Nime zaliwa kwenye dunia Sio kusudi langu Najuwa ni wewe muumba pia wazazi wangu Nasema asante kwaku ni zaa dume sio mwali Japo dunia majonzi ee Nime zunguka kushoto Kulia sioni sawaa Dunia ime haribiwa na Wenye roho mbayaa Mola wasamehe eee ee Naji inamia naji lilia Lini haya yata kwisha Wasio penda maendeleo Sote tusonge mbele nao Ina ni uma aaa aaaa Mama aaa Mama Ina uma mama Mama Mama Ina choma aa Wenye magari Majumba ya kifahari Wenye miradi mingi Ufukara maisha yangu Kunywa soda sherehee Nili kose nini kwako mungu Nambie uni samehe ee Sija kosea huu ukweli naongea Naomba uni bariki Mi ni tunze familia Ndugu na marafiki zangu Ni wewe mungu naku amini Mi nalia na umia Mama aaa Mama Ina uma mama aa Mama Mama Ina choma aa Usi mu judge mtu kwa macho Mi nahisi uta kosea Ukweli anau juwa mwenyewe Ni uchi sote tume zaliwaa Tuta viacha kwenye dunia Japo twalia wanapo tutanguliaa Kuzaliwa na kufa Yani sote twapita Dunia sio mbaya watu ndo wabaya Twa jitesa ywa chukiana bure bila sababu Bila kosa twa uwana bure bila sababu kosire Mama aaa Mama Ina uma mama aa Mama Mama Ina choma aa
Similar Songs
More from THEO JEEZEY
Listen to THEO JEEZEY Mama MP3 song. Mama song from album Passion is released in 2023. The duration of song is 00:04:13. The song is sung by THEO JEEZEY.
Related Tags: Mama, Mama song, Mama MP3 song, Mama MP3, download Mama song, Mama song, Passion Mama song, Mama song by THEO JEEZEY, Mama song download, download Mama MP3 song