- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
Tunda - THEO JEEZEY
...
Kama tunda lime wiva Halali kuliwa na popo Nina njaa nianguliye ee Na kama ngoma ime nyauka Ni nzuri kuleta mdundiko Cheza ni shikilie Mi na lia nisipo kuona Na umia moyo na sonona Mapenzi matamu usi rudishe nyuma Hapo shikilia Kisha tabasamu huku na jituma Pesa naku mwagia Mi na lia nisipo kuona Na umia moyo na sonona Mapenzi matamu usi rudishe nyuma Hapo shikilia Kisha tabasamu huku na jituma Pesa naku mwagia Huu huu Taratibu na mapenzi Haa haaaa Mi zaifu sijiwezi Me amor Tunda Te amo Tunda Korosho karanga na kulaga na kutegemea we Siri za ndani sinaga mashaka Tu sali mi na we Kama zezeta Kwako na jileta Uki ni ona una deka Niki gusa una cheka Nacho taka niku owe Sito penda uchezewe Mpaka kifo nife nawe I'm sorry my baby Nacho taka niku owe Sito penda uchezewe Mpaka kifo nife nawe I'm sorry my baby Mapenzi matamu usi rudishe nyuma Hapo shikilia Kisha tabasamu huku na jituma Pesa naku mwagia Mi na lia nisipo kuona Na umia moyo na sonona Mapenzi matamu usi rudishe nyuma Hapo shikilia Kisha tabasamu huku na jituma Pesa naku mwagia Huu huu Taratibu na mapenzi Haa haaaa Mi zaifu sijiwezi Me amor Tunda Te amo Tunda
Similar Songs
More from THEO JEEZEY
Listen to THEO JEEZEY Tunda MP3 song. Tunda song from album Passion is released in 2023. The duration of song is 00:03:58. The song is sung by THEO JEEZEY.
Related Tags: Tunda, Tunda song, Tunda MP3 song, Tunda MP3, download Tunda song, Tunda song, Passion Tunda song, Tunda song by THEO JEEZEY, Tunda song download, download Tunda MP3 song