NIFURAISHE
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NIFURAISHE - One national gospel
...
Nifuraishe kama ulivyo furaisha wengine Bwana
Niheshimishe kama ulivyo heshimisha wengine, nami nikuone niuone uwepo…. Tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaaah ndani yangu uuuuh.
Nami nikuone niuone uwepo.. tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaah ndani yangu uuuuh
Nihinuwe Bwana kama ulivyo inuwa Yusuph..x2
Katika nyumba ya pitifa uli muhinuwa japo ndugu zake walimkimbia naku mzarau (lakini Bwana uhaminifu Bwana weee ulimuhinuwa nakumuheshima nakuketisha kati ya wakuuu)x2
Natamani ufurai moyo wangu, natamani nitawale mahali pangu mi natamani uniweke mahali palipo inuka aah, ahijalishi nilivyo ooh mmkubwa mudogo aheeeh tajiri maskini ooh
Ooh ooh aheeeh
Natamani ufurahi moyo wangu oooh Bwana
Nifuraishe kama ulivyo furaisha wengine Bwana
Niheshimishe kama ulivyo heshimisha wengine, nami nikuone niuone uwepo…. Tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaaah ndani yangu uuuuh.
see lyrics >>Similar Songs
More from One national gospel
Listen to One national gospel NIFURAISHE MP3 song. NIFURAISHE song from album NIFURAISHE is released in 2022. The duration of song is 00:05:27. The song is sung by One national gospel.
Related Tags: NIFURAISHE, NIFURAISHE song, NIFURAISHE MP3 song, NIFURAISHE MP3, download NIFURAISHE song, NIFURAISHE song, NIFURAISHE NIFURAISHE song, NIFURAISHE song by One national gospel, NIFURAISHE song download, download NIFURAISHE MP3 song