NIFURAISHE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NIFURAISHE - One national gospel
...
Nifuraishe kama ulivyo furaisha wengine Bwana
Niheshimishe kama ulivyo heshimisha wengine, nami nikuone niuone uwepo…. Tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaaah ndani yangu uuuuh.
Nami nikuone niuone uwepo.. tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaah ndani yangu uuuuh
Nihinuwe Bwana kama ulivyo inuwa Yusuph..x2
Katika nyumba ya pitifa uli muhinuwa japo ndugu zake walimkimbia naku mzarau (lakini Bwana uhaminifu Bwana weee ulimuhinuwa nakumuheshima nakuketisha kati ya wakuuu)x2
Natamani ufurai moyo wangu, natamani nitawale mahali pangu mi natamani uniweke mahali palipo inuka aah, ahijalishi nilivyo ooh mmkubwa mudogo aheeeh tajiri maskini ooh
Ooh ooh aheeeh
Natamani ufurahi moyo wangu oooh Bwana
Nifuraishe kama ulivyo furaisha wengine Bwana
Niheshimishe kama ulivyo heshimisha wengine, nami nikuone niuone uwepo…. Tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaaah ndani yangu uuuuh.
Nami nikuone niuone uwepo.. tena utukuzwe Bwana ah utukuzwe Bwana aaah ndani yangu uuuuh
Eee Mungu kwa jina unihokowa na kwa neno lako uniponye nakukimbilia wewe Bwana, utasikilize mahombi ya’angu. Nakukimbilia wewe Bwana uyasikilize mahombi ya’angu, uyasikilize maneno ya kinwa changu eeeh Bwana uniponye wafanyao maovu unihinuwe juu yao, uni furaisha
uyasikilize maneno ya kinwa changu eeeh Bwana uniponye wafanyao maovu unihinuwe juu yao, uni furaisha